Usijidanganye unayo majina mengi NI ZAIDI YA 8

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
450
Mfano unaitwa Julius Jackson Kangayupo jina ulilopewa na wazazi lakini wengine watakupa majina kama haya
  1. watoto watakuita Baba
  2. Mkeo atakuita mume wangu
  3. wajukuu watakuita babu
  4. Wapwa zako watakuita ..mjomba
  5. watoto wa mdogo wako watakuita baba mdogo
  6. watoto wa kaka yako watakuita baba mkubwa
  7. Mume wa dada yako atakuita shemeji
  8. Ofisini watakuita .. meneja ...bOSS
  9. Majirani watakuita baba fulani
  10. .........mengine unganisha mwenyewe majina ambayo ukiitwa lazima utaitika......
 
Nyumba ndogo atakuita bby,honey etc

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
5 na sita zina kasoro,fanya editing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…