Usijisaidie ndotoni

Usijisaidie ndotoni

His Eminence

Senior Member
Joined
Sep 22, 2024
Posts
123
Reaction score
376
Happy New Week,

Kama thread inavyojielezea, jitahidini kukontrol ndoto, baadhi huambatana na mambo ya aibu kama ukiziendekeza.

Jamaa yangu juzi kanipigia stori yaliyomkuta. Kama kawaida wameenda kulala yeye na mkewe, usiku akaota amekuwa Kuku. Kufika bandani Kuku wakamstukia wakaanza kumkomalia yeye siyo kuku.

Jamaa nayeye akasisitiza ni Kuku mwenzao. Ubishi ukawa Mkubwa bandani. Basi kuumaliza ubishi wakamwambia kama wewe ni Kuku Kweli unaweza kutaga?

jamaa akasema tena huwa nataga mayai matano kwa mkupuko. Kuku wakamkomalia waone, jamaa huku anatetemeka macho yamemtoka akaanza kutaga.

Ghafla kastukia anakula bonge la banzi kutoka kwa wifey, kuuliza wifey anamgombeza mme toka lini umeanza kujisaidia kitandani?

Kwenye ndoto zuia kabisa ndoto za kujisaidia.
 
Back
Top Bottom