Usijitahidi kuwa mwema kwa kila mtu wakati mwingine weka mipaka

blackstone

Senior Member
Joined
Aug 11, 2015
Posts
147
Reaction score
128

Wakuu
Huu ni ujumbe mweusi kutoka nchi ya watu weusi
Ukiwa mwema kwa kila mtu unatengeneza njia ya kila mmoja kukukimbia unapopata tatizo kwani watakuwa wanafata wema ulionao nakusahau kuwa na wao pia wanatakiwa kukutendea wema.Weka mipaka
Wako mtukufu Amiri jeshi mkuu wa mawe yote duniani ila siyo walilokataa waashi jiwe jeusi (blackstone)
 
Ni kweli.

Nilikuwa hivyo ila siku hizi nimejifunza saana.

Kuna mshkaj mmoja alikuja kwenye biashara yangu akaniambia nimkopeshe kwani anashida saana . Nikaona isiwe kesi nikampa.

Jamaa huwezi amini alinikaushia toka siku hiyo kama vile hanifahamu hata salamu hamna. Juzi natoka sehemu na pikipiki nipo mwenyewe nikamkuta kaingia mtaroni na kirikuu chake na mahindi aliyobeba yamemwakika. Akaniomba nikamchukue fundi aje amtengenezee kirikuu chake.

Waziwazi nikamwambia siendi Bora ufie hapa.
 
Dah,, mwanangu kumbe una roho ya kijasusi
 
Duh!
 
Dah..ni ujinga tu.....Hakuna vya bure hapa duniani....nipe nikupe ndiyo mpango mzima[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
mkuu ukiwekewa wa mee na wewe unakaza. kiree kiree . ila ukiweka yechu kwa fasi basi inakuwa yechuyechu
Laivu mwanangu, masela wengine wacki, so dawa yao ni ku do the same OVA
 
Dawa ni kuwa mkimya tu, sio mpaka tuzoeane sana
 
Huwezi mridhisha kila mtu, cha mno ni kujiheshimu watakutafuta wenyewe
 
Fact... Kuna mtu hapa mpaka nachoka yani, nimemvalia sura ya mbao but hanielewi sijui hata nafanyaje..
 


Tabia ya mtu haiwezi kubadilika, kila mmoja ana moyo tofauti na mwingine. Wengine tumeshindwa kuwa na moyo wa birika na wapo ambao wanafanya ili kufurahisha macho ya anayetendewa. Ingawaje waswahili walisema wema usizidi uwezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…