Usijitahidi kuwa mwema kwa kila mtu wakati mwingine weka mipaka

mkuu ukiwekewa wa mee na wewe unakaza. kiree kiree . ila ukiweka yechu kwa fasi basi inakuwa yechuyechu
Hii lugha ni ya wapi? Sijaambulia neno kwa kweli.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii itakuwa ni chuga maneno ya kihuni mengi sana! Hapo kama nimepatia anamaanisha masela wenzio unaweza ukawakazia jambo flani afu pashkuna ukamkunjulia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya bhana.
 
Back
Top Bottom