edwin george
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 1,218
- 981
Hii lugha ni ya wapi? Sijaambulia neno kwa kweli.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu ukiwekewa wa mee na wewe unakaza. kiree kiree . ila ukiweka yechu kwa fasi basi inakuwa yechuyechu
Hii itakuwa ni chuga maneno ya kihuni mengi sana! Hapo kama nimepatia anamaanisha masela wenzio unaweza ukawakazia jambo flani afu pashkuna ukamkunjuliaHii lugha ni ya wapi? Sijaambulia neno kwa kweli.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mvalie sura ya Paka shume atakufahamuππππFact... Kuna mtu hapa mpaka nachoka yani, nimemvalia sura ya mbao but hanielewi sijui hata nafanyaje..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii itakuwa ni chuga maneno ya kihuni mengi sana! Hapo kama nimepatia anamaanisha masela wenzio unaweza ukawakazia jambo flani afu pashkuna ukamkunjulia
Asante mkuu,acha niitafute hiyo sura niivae,atanikomaje mwaka huu.Mvalie sura ya Paka shume atakufahamuππππ