Usikariri maisha ukianza tu kufanya maamuzi sahihi kutokana na maumivu yako wewe sio mwenzetu tena..

Rammie Singh

Member
Joined
Jul 30, 2022
Posts
10
Reaction score
6
Maisha ni magumu na yamejaa changamoto nyingi zisizotarajiwa

Hata hivyo, unapaswa kujiuliza mambo yafuatayo:

Kiasi gani cha mawazo na mvutano wa kifikra Unajisababisha bila sababu Kwa kujenga dhana Na kujikumbushia hofu na maumivu yaliyopita akilini mwako?

Ni mara ngapi unakataa kuachilia mambo kisa mazoea hata pale ambapo yanaapobadilika?

Ni kiasi gani huwa unajilazimisha kufanya kitu tofauti kutokana na msukosuko na mvutano katika maisha yako ?
 
Na sijui ni kwa nini hatuiweki kweli katika matendo?.

ie. Inakuwa vigumu sana kuiweka kweli kwenye matendo.
 
Na sijui ni kwa nini hatuiweki kweli katika matendo?.

ie. Inakuwa vigumu sana kuiweka kweli kwenye matendo.
Kubadilisha mitazamo ambayo tunayo ndio tatizo, kufikiria watanionaje nikibadilika na jamii inayotuzunguka inafanya vitu reality vionekane theoretically
 
Vitu vingine viache vipite tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…