Ha ha ha ha ha haBarkiwa mpendwa, kwa kutukumbusha kuwa hatutakiw kukata tamaaa.
Mlango ukifungwa, tokea drshani
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kila ninapotaka kukata tamaa huwa nazikumbuka nywele za kwenye tigo pamoja na mazingira zilipo lakini haziachi kukua basi Nazidi kupambana
Amen sisySending Blessings to all people struggling right now.
Kauzi kafupi ila kana maana kubwa sana...!Kwenye maisha au safari ya mafanikio lazima kuwe na dhoruba, ukikata tamaa utakaa kwenye hiyo dhoruba ukijituma utavuka hiyo dhoruba na neema itakuja. Usikate tamaa maana ukikata tamaa Baraka zako zinapotea. Jitume kwa kazi unayoifanya Usiogope vikwazo na Maneno Ya Watu bali fanya kile moyo wako unapenda. Jitume maana kwenye bidii kuna mafanikio.
[emoji4][emoji4][emoji4]