Usikate tamaa hata siku moja

Usikate tamaa hata siku moja

Mozz_Elly

New Member
Joined
Apr 3, 2021
Posts
4
Reaction score
9
Kwenye maisha au safari ya mafanikio lazima kuwe na dhoruba, ukikata tamaa utakaa kwenye hiyo dhoruba ukijituma utavuka hiyo dhoruba na neema itakuja. Usikate tamaa maana ukikata tamaa Baraka zako zinapotea.

Jitume kwa kazi unayoifanya Usiogope vikwazo na Maneno Ya Watu bali fanya kile moyo wako unapenda. Jitume maana kwenye bidii kuna mafanikio.

😊😊😊
 
Barkiwa mpendwa, kwa kutukumbusha kuwa hatutakiw kukata tamaaa.

Mlango ukifungwa, tokea drshani
 
Na ni nasema tenga muda maalum kwa kila unachokipambania ukizidi achana nacho mara moja.

Zingine sio riziki zetu......!!!!!
 
Sometimes unapambana,ila unaona kabisa mambo hayaendi aisee,yani unaona bora ungeajiriwa ungetulia.

Kujiajiri si mchezo kabisa aisee,ila hakuna kupoa.
 
Kila ninapotaka kukata tamaa huwa nazikumbuka nywele za kwenye tigo pamoja na mazingira zilipo lakini haziachi kukua basi Nazidi kupambana
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwenye maisha au safari ya mafanikio lazima kuwe na dhoruba, ukikata tamaa utakaa kwenye hiyo dhoruba ukijituma utavuka hiyo dhoruba na neema itakuja. Usikate tamaa maana ukikata tamaa Baraka zako zinapotea. Jitume kwa kazi unayoifanya Usiogope vikwazo na Maneno Ya Watu bali fanya kile moyo wako unapenda. Jitume maana kwenye bidii kuna mafanikio.

[emoji4][emoji4][emoji4]
Kauzi kafupi ila kana maana kubwa sana...!
 
Back
Top Bottom