Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
- Thread starter
-
- #61
Huo ndio ukweli kabisa, tuna watu wengine wengi nyuma yetu wanatutegemea.Hayo maneno ya usikate tamaa kunamtu anakutegemea kila siku huwa yanaishi kichwani mwangu kuna mtu aliniambia kuwa nikifanikiwa mm kuna watu pia wamefanikiwa bila mm kufanikiwa basi nawao hawata fanikiwa mlango wao wamafanikio mm ndio ninafunguo yao 😢
Barikiwa sana DadaAsante kwa ujumbe mtamu wenye kutia nguvu na tumaini la kupambana na changamoto za kimaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Barikiwa
Haha tuombe uzima mkuu, tutalifanya hilo.Amen, MUNGU atupe uzima tuweze kuandaa hata ka tour kamoja tu kakumaliza mawazo kidogo, wenzetu wanakua na RETREAT nadhani majority tunahitaji Retreat, ngoja kesho nitaanzisha mada hio
Kikubwa uzima tuHaha tuombe uzima mkuu, tutalifanya hilo.
Ni kweli kabisa mkuu. 🤝🏻Kikubwa uzima tu