Usikate tamaa kwa changamoto unazopitia

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
πŸ“Œ Usikate tamaa kwa changamoto unazopitia, aisee hakuna kitu kizuri kinachokuja bila changamoto ata masika uja baada ya kiangazi kuzidi.πŸ˜‚

πŸ“Œ Mtu anayekupenda hatokuacha kwa tabia zako ila atakuacha kama tabia zako zitakuwa mazoea kwake.

πŸ“Œ Jiulize kwanini umalaya unaongezeka nikutokana na kukata tamaa kwa mtu ambaye uko nae kuona kama hakuelewi.

- Kuchepuka sio njia sahihi ya kumfunza mwenza wako.

πŸ“Œ Utaendelea kuumia maishani mwako yote kama wewe ni wa kupenda na kuacha maana ipo siku utamuacha mtu sahihi kwako. Wanafunzi tunatofautiana uelewa kuna wanaoelewa haraka na wanaoelewa taaratibu.

πŸ“ŒMwanamke ndio mwalimu pekee kwa mwanaume wake, maana mwanamke ukimpa kipaumbele atakujuza mengi kwahiyo utajua ufanye kipi na uache kipi. 😭

Asante kwa muda wako kwa kusoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…