Usikate tamaa kwa changamoto unazopitia

Usikate tamaa kwa changamoto unazopitia

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
📌 Usikate tamaa kwa changamoto unazopitia, aisee hakuna kitu kizuri kinachokuja bila changamoto ata masika uja baada ya kiangazi kuzidi.😂

📌 Mtu anayekupenda hatokuacha kwa tabia zako ila atakuacha kama tabia zako zitakuwa mazoea kwake.

📌 Jiulize kwanini umalaya unaongezeka nikutokana na kukata tamaa kwa mtu ambaye uko nae kuona kama hakuelewi.

- Kuchepuka sio njia sahihi ya kumfunza mwenza wako.

📌 Utaendelea kuumia maishani mwako yote kama wewe ni wa kupenda na kuacha maana ipo siku utamuacha mtu sahihi kwako. Wanafunzi tunatofautiana uelewa kuna wanaoelewa haraka na wanaoelewa taaratibu.

📌Mwanamke ndio mwalimu pekee kwa mwanaume wake, maana mwanamke ukimpa kipaumbele atakujuza mengi kwahiyo utajua ufanye kipi na uache kipi. 😭

Asante kwa muda wako kwa kusoma.
 
Back
Top Bottom