Usikimbilie kuoa, utajuta

Usikimbilie kuoa, utajuta

Waeleze bwana...vijana wanajidanganya oh tutasaidiana. Mwanamke wee dawa ni moja tuu chukulia kama chombo cha starehe basi.
 
Ajira ina mwisho, ila kuwa na familia haina mwisho; bali familia itakupa faraja maisha yako yote hapa duniani kama uliyenaye ni mtu sahihi. Miaka 7 kuwa mbali na familia ni mtihani
 
So watu wote mmeshindwa kujadili ni kivipi mtu aliyeenda kusomea PHD (which means ana Master) ghafla akasomee udereva VETA?
Hapo kanivuruga kishenzi ila nimeona tu nikaushe nisionekane mjuaji ina maana hpo ofisini tukiachana na hyo PhD aliuoikosa degree yke na masters hazifiti kitengo chochote hadi akasomee udereva veta? Na kitu kingine anasema mwaka wa 7 jamaa karudi ina maana kakaa kule mwaka wa 7 karudi bila PhD nisaidieni wasomi kwani PhD inachukua miaka mingapi?
 
Hapo kanivuruga kishenzi ila nimeona tu nikaushe nisionekane mjuaji ina maana hpo ofisini tukiachana na hyo PhD aliuoikosa degree yke na masters hazifiti kitengo chochote hadi akasomee udereva veta? Na kitu kingine anasema mwaka wa 7 jamaa karudi ina maana kakaa kule mwaka wa 7 karudi bila PhD nisaidieni wasomi kwani PhD inachukua miaka mingapi?
Inawezekana amepewa adhabu kwa kutumia vibaya muda wa muajiri, kuhusu muda inawezekana alikuwa hakamilishi kivuko/alikuwa wa kufeli feli
 
Mweka mada mi nimekuelewa. Ambao hawajakuelewa achana nao we jua umeshaandika.. duniani kuna njia nyingi za kujifunza,usipofunzwa kwa maneno ya watu ama mifano unayoiona basi maisha yatakufunza yenyewe.
 
Kuigopa kuoa kisa ujafanikiwa kimaisha huo ni udada.

Oa akikushinda piga chini oa tena ukichoka unavuta endbreak unapumzika
 
nlishawahi kuwa ktk kipindi kigumu sana ktk kipindi hicho hicho kigumu nkaoa, nkaishi na mke kwenye umaskini huo huo mpaka sasa najiweza npo na mke na katoto kamoja ka kikee kacheshi sana nmekaita jina la mama angu rebecca, hata kama napitia wakati mgumu kiasi gani nafarijika sana nkiona familia yangu japo ni maskini bado.NB MTOA MAADA USITISHE VIJANA TATIZO USOMII HUU.
 
Kwanza mtoa mada anatuchanganya kwa mambo yafuatayo:

Mosi, mtu anaeenda kufanya PhD maana yake aliajiriwa akiwa kama TA au Mhadhiri msaidizi(assistant lecturer), kwa scale za mshahara wa serikalini, huyo jamaa haipungui 2m kwa mwez kama alikua na masters tayari, kama alikua TA milion moja karibu na nusu take home, sasa je kama alimuachia wife salary iweje uchumi uyumbe?

Mbili, PhD za nje asilimia kubwa huenda kwa ufadhili, maana gharama zake ni kubwa sana, kama hivyo ndivyo, iweje ashuke kiuchumi kwa kiasi cha ndoa kutetereka?

Nafanya PhD kwa ufadhili, hela ya ufadhili inatosha kula mimi na wife, japo nipo chuo cha private ambapo mshahara si mkubwa sana tofauti na scale za serikalini kama SUA, lakin mahitaji yote ya msingi yanapatikana!

Nadhani jamaa kaoa kahaba, au na yeye binafsi ana shida asizoziweka wazi, ama ameenda kufanya PhD kwa kujilipia kitu ambacho siamin kwa mtumishi wa umma kwa kuzingatia mshahara wake ukilinganisha na gharama za shule ya nje!
 
Back
Top Bottom