Usikimbilie kuoa, utajuta

Scholarship ya jamaa ilikua Miaka 3. Sasa kule Supervisors (Main na Co-supervisors) wanazinguana mpaka leo hawajafikia popote mwaka wa 7 kwa hiyo anaishi kwa mshahara tu. Alipe bills za familia TZ na Ughaibuni
 
Scholarship ya jamaa ilikua Miaka 3. Sasa kule Supervisors (Main na Co-supervisors) wanazinguana mpaka leo hawajafikia popote mwaka wa 7 kwa hiyo anaishi kwa mshahara tu. Alipe bills za familia TZ na Ughaibuni
Hapo kazi ipo na problem ya supervision kwa graduate studies ni jambo la kawaida sana, ila kwa level ya PhD mwenye final say kwenye kazi ni first supervisor, lakini wakiwa wanazingua una nafas ya kuandika barua kuomba ubadlishiwe. Miaka 7 asee ngesharudi mapema sana, asipoangalia shule itakua imeishia hapo, scholarship zote wanakupiga pini ya deadline, usipomaliza ndani ya muda hawahusiki
 
Take note
“Mwanamke siyo ndugu yako mpaka akuvumilie shida zako”
[emoji851][emoji851][emoji851]
 
Hahaaaa

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Amesharudi bila PhD kazini wamem-categorize kuwa Warden. Mke kakimbia.
 
Kama chai hivi

PhD miaka 7 na bado hajamaliza? Na mwajiri anamuuliza vyeti wakati hajamaliza? Hii miaka saba ni Masters na PhD juu kwa china

VETA ili awe dereva? Ilivyo usipokuwa na vogezo utasota kwenye cheo chako ial hufukuzwi kazi.

Kama aliajiriwa akiwa na Master's degree ina maana ni Assistant Lecturer anakufaje njaa hapo mkuu, mshahara unamtosha mke na bumu la huko uchinani lipoo.

Punguza chai.

CHELEWA KUOA UJUTE UZEENU
 
Sema umeandika fasta kama unakimbizwa..
ungetulia kidogo ili ambao hatujaoa tujifunze kitu
 
Mkuu usipende kugeneralize,wapo wanawake wema na Wavumilivu.
 
Sisi wanawake hatuna formula. Ila Ni muhimu mwanamme kusimama Kama mwanamme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…