Usikipe sifa ya utukufu chochote, mimi ni Mungu mwenye wivu!

Usikipe sifa ya utukufu chochote, mimi ni Mungu mwenye wivu!

Jerry Farms

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2022
Posts
202
Reaction score
167
Wana JF, naombeni mnipe tafsili ya ni nn kinachowafanya baadhi ya watu wavipe utukufu vitu hivi:
1-Mapinduzi "matukufu"!
2-Bunge "tukufu"!

Hivi ni viashiria vipi ambavyo vinatoa utukufu kwa hivi vitu? maana isije kua tunabeba laana kwa kukubaliana na semi hizi.

Ni kama kulikua na bia XYZ ilikua na slogan ya..." Bia yetu ndio roho ya taifa" kwa ung'eng'e wanasema " spirit of the nation...." Kweli! Bia iwe ndio roho ya taifa!

Nashkuru wamebadili siku hizi. Kumbuka kukubaliana na kosa la kikundi kuwa ndio destuli ya taifa hua na athari kwa taifa zima.
 
Back
Top Bottom