Apo utakuta kafungua kiji-botique uchwara sinza,Wanawake wanene wanajikuta wanaharakati sana, namuonea huruma bro wetu nyumbani
Hebu njoo niambie kwanza😀Hata hayaelezeki[emoji3525]
sio wote mkuuNarudia tena wanawake ni wabinafsi sana tena usiombe awe na vijisenti
Hii vita imekua kali wakuu. Kukaeni mezani tu, hili swala linazungumzikaUsione haya anayofanya huyu mama, na wewe mwanamke ukataka uyalete kwenye ndoa yako. Utaangukia pua.
Ni wanaume wachache sana wanaweza kuvumilia huu upumbavu. Wanawake kuweni makini na hayo makongamano yunu. Financial independence yako, isiwe chanzo cha kuvunja ndoa yako.
Nakazia. 90% ya wanaume wakipata pesa wanawaza familia (mke na watoto). 90% ya wanawake wakipata pesa wanawaza kuachana na waume zao wakaishi wenyewe huku wakitafuta wanaume wa one nightTumeumbwa Tofauti,
Wanaume tukiwa na pesa,
tunatafta wanawake wa kuspend nao
Wanawake wakiwa na pesa,
wanatafta namna ya kujitenga na wanaume
Surehuo ni ulimbukeni tu mi naona, kwasababu hakuna uhusiano hapo kati ya ndoa na financial independence