Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nauza security alarm kwa ajili ya matumizi binafsi na kiofisi. Alarm hii ni wireless, inakuja na motion sensor nne , na windows/door sesnor 4, rimoti 2 kwa ajili ya kuwasha na kuzima , RIFD 2 , kwa ajili ya kuwasha na kuzima pia, lakini pia inaweza kuwashwa na kuzimwa yenyewe kupitia keypad yake.
Kifaa hiki kina sifa zifuatazo.
1. Inauwezo wa kujiwasha na kujizima chenyewe , kwangu hii ndio feature ninayopenda hakuna usumbufu wa kuhakikisha kuwa imewasha au imezimwa na hata nisipokuwa nyumbani nina uhakika ya usalama
2. Itakutumia ujumbe wa sms pale inapowaka au kuzima au kama imedetect motion ikiwamo kufunguliwa kwa madirisha milango au movement za watu.
3. Inauwezo wa kufanya kazi masaa 24, yani ukaiwasha huku ukiendelea na shughuli zako bila usumbufu, hapa inakuruhusu kuwasha sensor za kwenye madirisha pekee bila kuwasha motion sensor, hivyo ikitokea mtu kufungua madirisha basi itapiga kelele.
4. Ina uwezo wa kuwasha au kuzima ukiwa mbali ukitumia application ya simu.
5. Inatumia umeme kidogo sana na haina waya hivyo haitaharibu muonekano wa nyumba na rahisi kuhamishika.
Hizi ni sifa chache ambazo mimi kama mtumiaji nazipenda pia lakini ina sifa nyingine nyingi , alarm hii ni nzuri sana itazuia/itapunguza wizi wa vitu majumbani au ofisini, karibuni sana bei yake ni laki tatu na nusu (Tsh 350,000).usikose hii alarm zipo chache.
Pia kwa mahitaji ya car gps tracker, tv tracker , alarms (wired and wireless) electric fence , cctv camera , fire alarms , all repairs and maintance of security system , niandikie email , info@isecure.co.tz , nipigie simu namba 0714890018
Karibu sana.
View attachment 1884422
View attachment 1884423
Nauza security alarm kwa ajili ya matumizi binafsi na kiofisi. Alarm hii ni wireless, inakuja na motion sensor nne , na windows/door sesnor 4, rimoti 2 kwa ajili ya kuwasha na kuzima , RIFD 2 , kwa ajili ya kuwasha na kuzima pia, lakini pia inaweza kuwashwa na kuzimwa yenyewe kupitia keypad yake.
Kifaa hiki kina sifa zifuatazo.
1. Inauwezo wa kujiwasha na kujizima chenyewe , kwangu hii ndio feature ninayopenda hakuna usumbufu wa kuhakikisha kuwa imewasha au imezimwa na hata nisipokuwa nyumbani nina uhakika ya usalama
2. Itakutumia ujumbe wa sms pale inapowaka au kuzima au kama imedetect motion ikiwamo kufunguliwa kwa madirisha milango au movement za watu.
3. Inauwezo wa kufanya kazi masaa 24, yani ukaiwasha huku ukiendelea na shughuli zako bila usumbufu, hapa inakuruhusu kuwasha sensor za kwenye madirisha pekee bila kuwasha motion sensor, hivyo ikitokea mtu kufungua madirisha basi itapiga kelele.
4. Ina uwezo wa kuwasha au kuzima ukiwa mbali ukitumia application ya simu.
5. Inatumia umeme kidogo sana na haina waya hivyo haitaharibu muonekano wa nyumba na rahisi kuhamishika.
Hizi ni sifa chache ambazo mimi kama mtumiaji nazipenda pia lakini ina sifa nyingine nyingi , alarm hii ni nzuri sana itazuia/itapunguza wizi wa vitu majumbani au ofisini, karibuni sana bei yake ni laki nne tu (Tsh 400,000).usikose hii alarm zipo chache.