Usikose Alarm hii Nyumbani/Ofisini kwako

hivi wadau mnasubili kwanza kuibiwa ndio muanze kuulizia kuhusu hii alarm. Chukua tahadhari mapema kabisa kwa kufunga hii alarm
 
 
 
Ofa Maalum kwa Wadau Wetu! πŸŽπŸ”§

Tunapenda kuwatakia Sikukuu njema za mwaka huu wa Christmas na mwaka mpya ! Shukrani kwa uaminifu wenu kwetu na support mliyotupatia Isecure technology , tungependa kushiriki na nyinyi furaha ya msimu huu wa Sikukuu kwa ofa ifuatayo.

🎁 OFA YA SIKUKUU: Car Diagnostics BURE!

πŸ” Pima Hali ya Gari Lako Bure! , tutakupatia report /reset kwenye error codes . Kwa matengenezo utawasiliana na fundi wako, ZINGATIA: hatuhusiki na utengenezaji wa magari ila tu kujua matatizo ya gari yako bure , ofa hii ni kwa wadau wa jamiiforums na wakazi wa Dar es salaam tu . Nipigie 0754200363
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…