Behind the Scenes Dk Hamisi Kigwangalla akifanya kipindi cha Mkasi, Hii Leo kuanzia saa Tatu na Nusu usiku Kipindi hiki kitakuwa hewani.
Tizama jinsi Dk Kigwangalla alivyozungumza Changamoto na Utatuzi wake pia maswala mbali mbali dhidi ya vijana na Kuelekea 2015 ?
Usikose kipindi hiki Bora EATV pekee
Huyo ni tapeli tu aliwadanganya wachimbaji wadogo kuwa waandamane hadi mgodini nzega kumbe kala Dili na polisi kakamatwa kama mtoto mchanga huku wachimbaji wakila marungu na mabom ,usiku ulipoingia kaenda kula bata Dodoma
Wewe uliyeleta uzi huu ni Kistuli au Hamisi?
Hata hivyo hamisi hana la maana atakaloongea la kumsikiliza
Sana sana atarudia yale yale kama watu wale wale na kwa propaganda zile zile!