Usikose kutazama hii gari na utoe comment

Kig

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
1,076
Reaction score
458
Nafikiria kununua gari aina ya MITSUBISHI PAJERO MINI, CC660, Four Wheeled Drive, Milango 3 (angalia picha yake hapo chini). Lakini Kabla sijaiagiza toka Japani naomba ushauri toka kwa wazoefu kuhusiana na uzuri na ubaya wa gari za aina hii. Jambo lingine ni; Je iwapo CIF hadi dar ni USD 1900 = milion 3 za Tz, niandae shilling ngapi ili kuitoa bandarini hapo Dar? Asanteni na karibuni kwa michango yenu ya mawazo
 

Attachments

  • IMAG0637.jpg
    465.6 KB · Views: 135
  • IMAG0638.jpg
    346.8 KB · Views: 151
  • IMAG0639.jpg
    438.5 KB · Views: 96
  • IMAG0640.jpg
    378.6 KB · Views: 101
  • IMAG0642.jpg
    312.1 KB · Views: 78
Ni gari nzuri sana. Powerful na luxury pia lakini tatizo ni upatikanaji wa spare zake.
hata zikipatikana ni very very expensive.
 
Ni gari nzuri sana. Powerful na luxury pia lakini tatizo ni upatikanaji wa spare zake.
hata zikipatikana ni very very expensive.

Kama ndo anaanza shughuli ya magari simshauri.......ila kama kashakuwa nunda wa hizi mambo na aingie at his own risks
 
kuhusu kodi nenda kwy web ya TRA kuna link ya kudownload formula za kukokotoa kodi.
 
Pajero wana gari nzuri sana,ni gari ngumu,tatizo kubwa ziko chache sana na hii inamaanisha kuwa hata wauza spare pia hawaleti spare zake kwani hawapati faida kama wanapoleta spare za Toyota ambazo ziko nyingi sana.
 

Kaka hii gari ni KIMEO! Mimi nilikuwanayo, kwa miaka 3 niliyodumu nayo, nilibadilisha engine KILA MWAKA! Mwisho nikaishia kuiuza KWA HASARA.

Achana nayo!
 
hivi ni kweli uchakavu umeondolewa au ni polojo za wabongo..
 
This model is not meant for africa. Ndo maana zinasumbua sana. Think of swift au Daihatsu au escudo, rav4 etc km unataka gari ilioko juu
 
Kaka hii gari ni KIMEO! Mimi nilikuwanayo, kwa miaka 3 niliyodumu nayo, nilibadilisha engine KILA MWAKA! Mwisho nikaishia kuiuza KWA HASARA.

Achana nayo!


Pole mkuu. Kubadilisha engine kila mwaka siyo mchezo. HEBu niambie kuhusu ulaji wa mafuta ukoje?
 
hivi ni kweli uchakavu umeondolewa au ni polojo za wabongo..


UShuru wa uchakavu upo palepale. soma bajeti ya serikali ya mwaka huu ukurasa 80-90 utapata majibu
 
This model is not meant for africa. Ndo maana zinasumbua sana. Think of swift au Daihatsu au escudo, rav4 etc km unataka gari ilioko juu


Kwani swift hazisumbui yaan hazina matatizo sana?
 
Pajero Min ni nzuri. Mimi ninayo ya cc1000, ni 4wd. Huwa naweza kuondoka hapa saa9 alfajiri kwenda Arusha by saa 5 nimefika, nafanyakazi ninarudi around saa 10 hapa Dar nafika saa 5 usiku. Tatizo of late limekuwa na uzito kwenye gearbox, hasa asubuhi ngumu kubadilisha gear hadi utembee karibu kilomita nne au tano ndo inormalize. Nimepitia garage nyingi wamesafisha gear box, nimebadilisha oil kila aina niliyoshauriwa lakini hadi leo hii halijapona.Wengine wameniambia control box, lakini hazipatikani hapa mjini. Otherwise nadhani kama sio usumbufu ni gari nzuri, huu ni mwaka wa 8 tangu ninaitumia ingine ni nzuri na very powerful hata kama ina cc ndogo tu 1000!
Upo sahihi, na usiombee ikachoka utaijua kwa nini iliitwa Pajero.
 

Nashukuru sana kwa ushauri wako mzuri nimekupata
 
mkuu iyo gar ni nzuri sana lakini ina gharama kuitunza 2likua nayo ilidumu kwa miaka 11 mwisho wake mama angu akachoka kuiudumia nadhan ilikufa kwaajili ya uendeshaji wa ujana hatimae ipo nyumban kama scraper kama umedhamilia jaribu kui2nza sana itadum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…