Kig
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 1,076
- 458
Nafikiria kununua gari aina ya MITSUBISHI PAJERO MINI, CC660, Four Wheeled Drive, Milango 3 (angalia picha yake hapo chini). Lakini Kabla sijaiagiza toka Japani naomba ushauri toka kwa wazoefu kuhusiana na uzuri na ubaya wa gari za aina hii. Jambo lingine ni; Je iwapo CIF hadi dar ni USD 1900 = milion 3 za Tz, niandae shilling ngapi ili kuitoa bandarini hapo Dar? Asanteni na karibuni kwa michango yenu ya mawazo