emmarki
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,001
- 1,430
Ubalozi wa Marekani utauza kwa njia ya mnada wa kimtandao (online auction) vifaa mbalimbali vikiwemo samani, vifaa vya nyumbani, vifaa vya kielektroniki na magari ya serikali:
Jisajili na tengeneza akaunti yako binafsi ili uweze kushiriki katika mnada huu. Kwa taarifa zaidi → https://bit.ly/OA-Tz
- Mnada utafunguliwa ili kuona vitu vinavyouzwa siku ya Jumatatu tarehe 1 Mei kuanzia saa 00:00, na kufungwa siku ya Jumanne tarehe 2 Mei, 2023.
- Mnada utaanza kupokea madau (bidding) Jumatano tarehe 3 Mei kuanzia saa 00:00, na kufungwa Jumapili tarehe 7 Mei 2023 saa 23:59
Jisajili na tengeneza akaunti yako binafsi ili uweze kushiriki katika mnada huu. Kwa taarifa zaidi → https://bit.ly/OA-Tz