Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Habari zimenifikia kuwa hadithi yangu ya Tanga Usiku wa Manane imeanza kuchapwa katika gazeti la Tanzania Daima na itaendelea tena siku ya Jumamosi; usikose. Mwambie na jirani yako... Niko karibuni kupakua kisa kingine cha "kusisimua" baada ya miaka karibu mitatu ya mapumziko!!