Usikose vifaa hivi nyumbani kwako!

Usikose vifaa hivi nyumbani kwako!

Nadhani ni poa kununua vile unavyoona una uhitaji navyo mara kwa mara, labda kama una mahusiano mabaya na majirani.

Maana ukiwa na madude mengi si utafungua hardware sasa.
 
Fundi aliniletea kitanda kaweka machaga marefu kusudi, na bawaba upande mmoja hajaweka,alitaka nimuite tena[emoji23]

siku ya pili nikachukuwa zangu tap na msumeno, bawaba zipo nikapima na kukata na kufunga,

ikapita miezi nikakutana nae nikamuuliza vipi mbona uliweka chaga mirefu?? Akasema niliweka kusudi hili siku nikija kufunga nipunguze[emoji16],,nikamjibu tu sawa nitakujulisha.
Alikuona mwepesi sana
 
Kwa hali ya sasa ya mauaji ya Wana ndoa hivo vitu nihatari Mimi napinga hoja mkuu
 
Fundi aliniletea kitanda kaweka machaga marefu kusudi, na bawaba upande mmoja hajaweka,alitaka nimuite tena[emoji23]

siku ya pili nikachukuwa zangu tap na msumeno, bawaba zipo nikapima na kukata na kufunga,

ikapita miezi nikakutana nae nikamuuliza vipi mbona uliweka chaga mirefu?? Akasema niliweka kusudi hili siku nikija kufunga nipunguze[emoji16],,nikamjibu tu sawa nitakujulisha.
Kuna fundi umeme aliitwa aangalie kama kuna tatzo kwenye nyumba arekebishe,alivyokuta hakuna tatzo ndan,tatzo lilikuwa nje linawahusu tanesco,alichofanya akaamua kuzima baadhi ya njia kwenye main switch ili tanesco wakimaliza tatzo yeye nimuite aje arekebishe ndani

Siku tanesco wamekuja wamerekebisha tukawasha taa zingine tukaona haziwak,tukawaambia wakasema wao wameshamaliza huko ndan tutafuta mafundi umeme,tukawaomba sana mwsho wakakubal kuturekebishia kwa ndan,baada ya wiki fundi umeme aliezima kwenye main switch anapiga sm kuulizia kama tanesco walishakuja ili nae aje amalize ufundi wake kwa ndani,nilimwambia tu hakuna tatzo mambo yako safi
 
All in all ni muhimu kwa Kweli Niko ilazo ddm ila nilikofikia nimeona panga kbsa lilipo Hakuna kingine
 
Back
Top Bottom