Usiku huu Liverpool FC inanianzishia Furaha yangu, ila Siku ya Jumapili Simba SC itanikamilishia Burudani ya Mfululizo wa Ubingwa

Usiku huu Liverpool FC inanianzishia Furaha yangu, ila Siku ya Jumapili Simba SC itanikamilishia Burudani ya Mfululizo wa Ubingwa

Kweli wat goes around comes around hawa chelii walitunyima ubingwa leo ndio wametupa tena

Watakuwa wameshajutia Kosa lao na Leo wameamua Kutuomba Msamaha kwa aina ya Kipekee kabisa kwa Kumfunga Mpinzani na Mnoko Wetu.
 
Asante Chelsea!

Kwa walichotufanyia mwaka jana niliwachukia Chelsea, ila Leo nimefuta Chuki yangu dhidi yao kama wana Yanga nao walivyomsamehe Molinga.
 
Liverpool kafanyaje mkuu.?

Amenyanyua Kwapa la English Premier League tokea lianzishwe rasmi Mwaka 1990 pale wana JamiiForums wengi tu mlikuwa bado katika Zipu.
 
Amenyanyua Kwapa la English Premier League tokea lianzishwe rasmi Mwaka 1990 pale wana JamiiForums wengi tu mlikuwa bado katika Zipu.
Naposti vp video

Enzi hzo hata karanga ilikuwa haijapandwa bado
 
Mkuu n ligi ya uingerexa tu

Hv tunapost vp video humu jf

Itume kwa Moderator na ukibahatika Kumkuta na Yeye ni mwana Liverpool FC Mwenzetu ataitupia, ila ikimkuta ni mwana Man City sahau kabisa.
 
Hata angefungwa isingeweza kuzuia liver kuwa bingwa

Mpira wa Soka hautabiriki Ndugu na yakupasa Uuheshimu. Kuna Mtu alijua Liverpool FC ingekuwa Bingwa CL baada ya Kutanguliwa na AC Milan?
 
Mambo ndo kwanzaaaa yanaaanza huku
 
Attachments

  • vandiijk4_20200626_1.mp4
    2.8 MB
Mpira wa Soka hautabiriki Ndugu na yakupasa Uuheshimu. Kuna Mtu alijua Liverpool FC ingekuwa Bingwa CL baada ya Kutanguliwa na AC Milan?
Liverpool alihitaji ashinde gemu moja tu kati ya saba zilizobaki hata kama mpira hautabiriki ilikuwa ngumu kwa liver hii kutoshinda hata mechi moja kati ya saba zilizobaki
 
Kweli wat goes around comes around hawa chelii walitunyima ubingwa leo ndio wametupa tena

Sio kuwanyima liver ubingwa, bali walimkosesha nafasi ya kutwaa taji la ligi kuu, moja kati ya wachezaji wawili wa kingereza ninao wakubali zaidi! STEVEN GERRARD , aise ule msumali wa demba ba niliumia km mimi ndio shabiki wa Liverpool vile. Lile tukio hata likioneshwa leo, najisikia vibaya.
 
Back
Top Bottom