Usiku huu warusi wakusanyika kupinga Victory say kuhusishwa na uvamizi wa Putin Ukraine, wasema amepotosha historia yao

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Kila May 9 uwa ni siku ya ushindi wa Urusi ambao unahusisha Ukraine, Russia, Macedonia, Hungary (Kosovo) Lithuania , Estonia na jumuiya yoote ilokuwa ya USSR, ushindi huo uwa siyo wa Urusi bali wa Jumuiya yote kusherekea kumbu kumbu maalumu ya WW2.

Wamejitokeza wanawake ambao wamesema kwamba “Путін помиляється, цей день перемоги СРСР проти Гітлера і нацистів не для приниження в Україні, яке закінчилося втратою нашої нації у війні”

Maana yake kwamba

Putin is wrong , this victory day is of USSR against Hitler and Nazi not for Humiliation in Ukriane which ended up in to loss of our Nation in the war

Wengi wamesema ni bora wauwawe Lakin siyo kupindisha ukweli juu ya historia yao,

Wakati huo huo madaktari wanaotarajia kumfanyia upasuaji Putin wamewekwa kwenye chumba maalumu kukagua mawasiliano yao! Simu Zote, e-mail, waliokutana nao baada ya vita kuanza, na miamala kwenye account zao za benk sehemu zinakotoka, pia nchi walizotembelea karibuni Kwa kuwekewa biometric screening’s…
Video yaja

Britanicca

Your browser is not able to display this video.
 
Atahotubia kwenye mhadhara au kwenye tv tu?
 
Bila picha ni umbea tu
 
Umepata hasara ya sh ngapi kutokana na hii vita ? Maana wewe si muukrain
Mafuta ya gari yamepanda bei ...Mafuta ya kupikia yamepanda bei....Vyakula vimepanda bei... Ada za Shule zimepanda bei...kila kitu kitapanda...na Mashetani pia yatapanda......wewe hujapata hasara kwenye maisha yako, au unayasindikiza maisha bora liende mpaka siku ya kufa....
 
anaishi kwa shemej

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…