Usiku umefika, kiza kimetanda, kwa kazi ya leo ofisin najihisi mchovu, naitaji kupumzika tayari kwa siku ya kesho. Upweke wanitanda, mwenyewe chumbani, najipa moyo kwa ndoto za usiku. Najiuliza Je ntamwota mrembo gani wa Jamii forums MMU? JE WEWE UTAMWOTA NANI? Nahisi kunabinti nimempenda humu. Anyway G9t wadau!
Kwahiyo nikishinda inakuwaje?!Na wewe kama hushindi unajuaje mi nashinda?!Mlalaji hawezi kumjua mkeshaji hata siku moja...Mmh! Lizzy keshajitokeza tayari, huyu dada hushinda jamvini kwa kweli, yeye ndoto yake bado bt ipo soon!
wewe UTAMWOTA NANI?
Kwahiyo kama unaenda kulala unataka tujue ili?!Na ukimuota yeyote yule hata yeye mwenyewe atasaidika vipi achilia mbali sisi unaotaka tubuni ni nani???!
Hata mi nashangaa!We huna usingizi mpaka sasa hivi hujalala tu?