Gagurito
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 5,600
- 806
Usiku umefika, kiza kimetanda, kwa kazi ya leo ofisin najihisi mchovu, naitaji kupumzika tayari kwa siku ya kesho. Upweke wanitanda, mwenyewe chumbani, najipa moyo kwa ndoto za usiku. Najiuliza Je ntamwota mrembo gani wa Jamii forums MMU? JE WEWE UTAMWOTA NANI? Nahisi kunabinti nimempenda humu. Anyway G9t wadau!