Usiku mwema wadau wa MMU, Leo nitaota nipo na mrembo mmoja wa humu, je wamjua ni nan?

We huna usingizi mpaka sasa
hivi hujalala tu?
Ndio nalala wadau!
 
FaizaFoxy
 
hahahaha! Ngoja nisilale leo nisubirie kuotwa.
Usiniote nimekufa tu.

naomba uvae vizuri, nikuote ninavyotamani kukuota plz! Ndio najiandaa kulala Husninyooooooo!
 
naomba uvae vizuri, nikuote ninavyotamani kukuota plz! Ndio najiandaa kulala Husninyooooooo!

khaaa! umenitisha! Leo itabidi nilale na skin jeans, baibui na nikabu. Bila kusahau soksi.
 
khaaa! umenitisha! Leo itabidi nilale na skin jeans, baibui na nikabu. Bila kusahau soksi.

ondoa shaka, nitakuota huku na wewe unaniota back! Kwahiyo tutakuwa tunaotana!!!! Lala ukiwa ume rilax, mwili ulegeze kama vile umetoka safari ya mbali! Uvae nguo laini ili isije ikakubughudhi na kupunguza makali ya ndoto yetu! Naomba ndoto idumu kwa masaa mawili
 
Ndoto imekamilika, usiku wa leo mimi na Afrodenzi tulikula bata! je we umemwota nan? Mi natangaza ndoa soon!
 
AFRODENZI NDIO ALITAWALA NDOTO ZANGU USIKU WA LEO. I wish mngeshuhudia kidali poo chetu, huyu mtoto yupo safi.
 
AFRODENZI NDIO ALITAWALA NDOTO ZANGU USIKU WA LEO. I wish mngeshuhudia kidali poo chetu, huyu mtoto yupo safi.

Gaguritooooooooo
we nani kakuruhusu
kuniota bila kulipa Ushuru
mmmmhhhhh tukutane
mahakamani kesho usiku mwema ..
.
 
Afrodenzi nakwambia yaliyotokea jana we acha, ur realy beautful my dear, nilienjoy kweli, na leo iwe vile best!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…