Mizizi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 1,275
- 391
wewe UTAMWOTA NANI?
Husninyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe UTAMWOTA NANI?
acha uchokoz bna,mbona husikii we broo?
Usiku umefika, kiza kimetanda, kwa kazi ya leo ofisin najihisi mchovu, naitaji kupumzika tayari kwa siku ya kesho. Upweke wanitanda, mwenyewe chumbani, najipa moyo kwa ndoto za usiku. Najiuliza Je ntamwota mrembo gani wa Jamii forums MMU? JE WEWE UTAMWOTA NANI? Nahisi kunabinti nimempenda humu. Anyway G9t wadau!
taratibu kiongozi,usijeota mke wa mtu bana..............................
Husninyo
Nyani kilimani....!
hahahaha! Ngoja nisilale leo nisubirie kuotwa.
Usiniote nimekufa tu.
naomba uvae vizuri, nikuote ninavyotamani kukuota plz! Ndio najiandaa kulala Husninyooooooo!
cheusi mangala lazima nikuote teh!
Nyani kilimani....!
FaizaFoxy
khaaa! umenitisha! Leo itabidi nilale na skin jeans, baibui na nikabu. Bila kusahau soksi.
we Preta we,hiyo avatar mmmhhhh,kavae bana!mmmh.....kazi ipo....haya usiku mwema
twambie basi,tayari kumekucha.jamani nawatakia usiku mwema, ntakae mwota ntawambia kesho!
AFRODENZI NDIO ALITAWALA NDOTO ZANGU USIKU WA LEO. I wish mngeshuhudia kidali poo chetu, huyu mtoto yupo safi.