zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
....mAmbo yakiwa mengi hata humu hatuonekani...lakini nawakumbuka sana..hasa my arabela....i miss yu sana...
wengine woteeeeeeeee....
...Usiku mwemaaaaaaaaaaa.....
Bishanga...ntamfanya...kitu..mbaya...
Ooorait!! Nadhani haitaafekti mpango wetu!
i hope so
Mpango...eeeeh...
tuna mipango ikitimia utakuwa wa kwanza kujua
mipango memaaa mnayo panga ....sasa hivi nipo busy sana.....