Usiku mwema wana MMU!!

Usiku mwema wana MMU!!

Mi nalala nikiukumbatia mto wangu na machungu ya baridi kali katika jiji hili lenye miamba kibao!Hongereni wenye mablanketi ya ukweli,sisi wacha tupambane na ndoto za mahaba ila asubuhi kazi ya kubadili nguo!
Pole sana kijana ingefaa zaidi kama ungelala uvunguni au jikoni ka utaweza kuvumilia huko baridi hakuna lol! Usiku mwema pia.
 
haya Eiyer, asante. ulale ukitafakari suluhisho la tatizo la leo (baridi)😛ound:
Baridi imenistua!Usingizi umekatika!Wacha niung'ang'anie mto wangu!
 
Pole sana kijana ingefaa zaidi kama ungelala uvunguni au jikoni ka utaweza kuvumilia huko baridi hakuna lol! Usiku mwema pia.
Nimeweka jiko chini ya kitanda lakini wapi!Baridi kali mbaya!
 
Back
Top Bottom