A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,678 Jul 14, 2011 #21 Eiyer said: Mi nalala nikiukumbatia mto wangu na machungu ya baridi kali katika jiji hili lenye miamba kibao!Hongereni wenye mablanketi ya ukweli,sisi wacha tupambane na ndoto za mahaba ila asubuhi kazi ya kubadili nguo! Click to expand... Pole sana kijana ingefaa zaidi kama ungelala uvunguni au jikoni ka utaweza kuvumilia huko baridi hakuna lol! Usiku mwema pia.
Eiyer said: Mi nalala nikiukumbatia mto wangu na machungu ya baridi kali katika jiji hili lenye miamba kibao!Hongereni wenye mablanketi ya ukweli,sisi wacha tupambane na ndoto za mahaba ila asubuhi kazi ya kubadili nguo! Click to expand... Pole sana kijana ingefaa zaidi kama ungelala uvunguni au jikoni ka utaweza kuvumilia huko baridi hakuna lol! Usiku mwema pia.
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,891 Jul 14, 2011 Thread starter #22 King'asti said: haya Eiyer, asante. ulale ukitafakari suluhisho la tatizo la leo (baridi)šound: Click to expand... Baridi imenistua!Usingizi umekatika!Wacha niung'ang'anie mto wangu!
King'asti said: haya Eiyer, asante. ulale ukitafakari suluhisho la tatizo la leo (baridi)šound: Click to expand... Baridi imenistua!Usingizi umekatika!Wacha niung'ang'anie mto wangu!
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,891 Jul 14, 2011 Thread starter #23 Kipipi said: Pole sana kijana ingefaa zaidi kama ungelala uvunguni au jikoni ka utaweza kuvumilia huko baridi hakuna lol! Usiku mwema pia. Click to expand... Nimeweka jiko chini ya kitanda lakini wapi!Baridi kali mbaya!
Kipipi said: Pole sana kijana ingefaa zaidi kama ungelala uvunguni au jikoni ka utaweza kuvumilia huko baridi hakuna lol! Usiku mwema pia. Click to expand... Nimeweka jiko chini ya kitanda lakini wapi!Baridi kali mbaya!
Kingāasti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,855 Reaction score 24,925 Jul 14, 2011 #24 kweli baridi ni tatizo! hebu litatue,alfajiri yote hiyo! Eiyer said: Baridi imenistua!Usingizi umekatika!Wacha niung'ang'anie mto wangu! Click to expand...
kweli baridi ni tatizo! hebu litatue,alfajiri yote hiyo! Eiyer said: Baridi imenistua!Usingizi umekatika!Wacha niung'ang'anie mto wangu! Click to expand...