Nawe pia mkuu.usiku mwema
Hahaha... Kwa nini mkuu umesema hivyoPamoja sana Usiku Mwema. Kuna makamanda ndio wanaingia job sahivi Baba Swalehe all the best
Na kwako pia mkuuusiku mwema
Kutubu na kuungama ni kitu kimoja au tofauti ?Kweli bana kuaga muhimu nobody knows when is her/his last shot in this world.
Kingine ni kutubu kabla ya kulala
Alfajiri njema π
We si ni Diaspora? Huko kwenu ndo mnala sasaUlale salama π wengine si ndio tunaamka
Haha ni huyo wewe, naona vile ulinikumbusha nikwambie usiku mwemaWe si ni Diaspora? Huko kwenu ndo mnala sasa