Usiku mwema

Napenda Catholic choir n songs..Nazijua nyingiiiiii... zingine hua nasikiliza tu kiasi! Kwa nyimbo za kidunia napenda Nyimbo zote.. hua napata wakati mgumu kuxhagua muziki na muvi kipi nachopenda zaidi
Hongera
 
usiku mwema mkwepu jr mzee wa like aseee we jamaaa nadhani kama nina Trophy point 2000 basi 1500 ni zako

unajua sambaza like hatari sana,fanya basi na hela uwe unagawa hivyo.Good Time man.
 
usiku mwema kila raia anaesoma hii comment.

Tukutane Kesho J2 kuanzia saa 11 jioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…