Usiku mwema

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilishakutakia sasa sijui hukuona maisha umeyapatia hiyo siku?? [emoji1787][emoji1787] anyway usiku mwema tena!!
Ungenitakia usiku mwema leo hakika ningejiona maisha nimeyapatia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23] lol siyo simu tu yaani ukitumia app ni majanga kwenye suala zima la notifications,, karibu kwenye uzi wa selfie ututumie picha..

Usiku mwema na kwako pia CONTROLA CONTROLA,

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Karma,kesho ntakuja kuwasalimia huko kwenye selfie kuwapa tupicha tuwili tutatu

japo inatakiwa uwe na screen recorder mana ntazfuta after 30sec 🤣 🤣 🤣

Ulale salama Karma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…