Hahaa nina maringo gani mimi jamani mbona kuninyasanyasa?Usiku mwema Heaven Sent punguza maringo binti wa kinyakyusa
Huyaoni ila mimi nayaona [emoji3]Hahaa nina maringo gani mimi jamani mbona kuninyasanyasa?
Khaa umefungiwa na Sam au kaka yangu?Sikujifungia bali nimefungiwa best, karibu ila usije [emoji6]
Ahsante my wiiAsante wifi yangu, wacha mimi nikuwish asubuhi njema[emoji28]