Usiku najikuta nikikesha asubuhi ndio nalala naamka saa 5 ndio life style yangu ya sasa

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,612
Reaction score
4,721
Maisha yangu ya siku hizi yamejaa vituko

Usiku najikutaga macho mpk saa 9 huko ikifika asubuhi ndo usingizi unanikamata kisawa sawa nakuja kuamka huko saa 4 au saa 5 nakunywa chai naenda kwenye mishe zangu....

Au kama ni siku ambayo sina mishe kama jmos huwa ni kulala tu unaamka saa 5 unakunywa chai saa 8 unalala tena siku hiyo unakua huna la maana la kufanya au pakwenda huna hata hela inabidi ulale tu

Ndo maisha yalivyokua
 
Usiku na mchana ni matokeo ya dunia kuzunguka jua, haina uhusiano na usingizi wako. Jambo la msingi ni kuwa na muda wa kupumzika na muda wa kutafuta kipato, iwapo usiku unafanya online freelancing kwa shughuli za ughaibuni ambazo zinalipwa in terms of $, just keep on meen hakuna ubaya ila kama unachat tu usiku kucha...utakuwa kwenye msafara wa umasikini.
 
Kama unalala hadi saa 5 na una uwezo wa kununua bando na msosi wa kula siku inayofuata hamna noma mzee.
Wewe endelea na ratiba zako..

Btw ratiba unaipanga wewe hata ukiamua ulale mchana wote uamke saa mbili usiku then ufanye mishe zako hadi asubuhi ulale tena mchana kutwa ni flesh tu...

Cha muhimu uweze kupata kipato chako halali
 
Usiku huwa napenda kujifunza zaidi na kusoma vitu vipya kuhusu maisha na biashara mitandaoni
 
Kama unalala hadi saa 5 na una uwezo wa kununua bando na msosi wa kula siku inayofuata hamna noma mzee.
Wewe endelea na ratiba zako..

Btw ratiba unaipanga wewe hata ukiamua ulale mchana wote uamke saa mbili usiku then ufanye mishe zako hadi asubuhi ulale tena mchana kutwa ni flesh tu...

Cha muhimu uweze kupata kipato chako halali
Ndo hivyo nipo mkuu
 
Vitabu vya dini vinataja mambo ambayo yanaleta madhara makubwa kwenye afya ya binaadamu ni mawili 1. Kula wakati husikii njaa. 2. Kukesha usiku na kulala mchana bila ya sababu maalum. Watafiti wa afya ya binaadamu wanasema muda mzuri wa kulala ni kuanzia saa tatu usiku hadi kumi alfajiri. Kikubwa ambacho nimekiona wewe unacho na wengi kimewaathiri ni simu ama gadgets. Unachat, unaangalia videos youtube, unaangalia porn mpaka usiku mnene, Mkuu ina athari kubwa sana kiafya acha kabisa.
 
Nimescreenshot hadi comment yako nitajaribu kulala mapema nione
 
Mimi ni hivyo hivyo, ni sababu ya wake zangu wawili, walinilazimisha kila siku nahamia kwenye chumba cha mmoja wao nafikiri wamewekeana mkakati wahakikishe kila siku waniache nilale saa nane au tisa usiku, eti nisichepuke, matokeo yake inabidi kila siku naenda ofisini na pilipili kichaa ili nikianza kusinzia nauma kipande ule moto wake usingizi unakata, sasa hivi naanza kuwa fido dido...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1322][emoji1322]
Sijui nipige mmoja chini..?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom