Usiku najikuta nikikesha asubuhi ndio nalala naamka saa 5 ndio life style yangu ya sasa

Usiku najikuta nikikesha asubuhi ndio nalala naamka saa 5 ndio life style yangu ya sasa

Mimi ni hivyo hivyo, ni sababu ya wake zangu wawili, walinilazimisha kila siku nahamia kwenye chumba cha mmoja wao nafikiri wamewekeana mkakati wahakikishe kila siku waniache nilale saa nane au tisa usiku, eti nisichepuke, matokeo yake inabidi kila siku naenda ofisini na pilipili kichaa ili nikianza kusinzia nauma kipande ule moto wake usingizi unakata, sasa hivi naanza kuwa fido dido...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1322][emoji1322]
Sijui nipige mmoja chini..?[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa kama kula kulala uwahi kuamka uende wapi? We mwambie dada aongeze bidii kwenye mauno tu asije akaachwa ukarudishwa kwenu

mkuu unamaneno makali sana 🙂 😀
 
Tafuta biashara itakayo kusogeza hadi mida ya Tano usiku..
Laifu litaendelea jwa uwezo wa Mungu..
 
Anza kusoma vitabu vya ziada ili unufaike na hilo tatizo la kukosa usingizi.
Maisha yangu ya siku hizi yamejaa vituko

Usiku najikutaga macho mpk saa 9 huko ikifika asubuhi ndo usingizi unanikamata kisawa sawa nakuja kuamka huko saa 4 au saa 5 nakunywa chai naenda kwenye mishe zangu....

Au kama ni siku ambayo sina mishe kama jmos huwa ni kulala tu unaamka saa 5 unakunywa chai saa 8 unalala tena siku hiyo unakua huna la maana la kufanya au pakwenda huna hata hela inabidi ulale tu

Ndo maisha yalivyokua
 
utajutia huo muda unaolala kizombi zombi

Kama unalala hadi saa 5 na una uwezo wa kununua bando na msosi wa kula siku inayofuata hamna noma mzee.
Wewe endelea na ratiba zako..

Btw ratiba unaipanga wewe hata ukiamua ulale mchana wote uamke saa mbili usiku then ufanye mishe zako hadi asubuhi ulale tena mchana kutwa ni flesh tu...

Cha muhimu uweze kupata kipato chako halali
point
 
Maisha yangu ya siku hizi yamejaa vituko

Usiku najikutaga macho mpk saa 9 huko ikifika asubuhi ndo usingizi unanikamata kisawa sawa nakuja kuamka huko saa 4 au saa 5 nakunywa chai naenda kwenye mishe zangu....

Au kama ni siku ambayo sina mishe kama jmos huwa ni kulala tu unaamka saa 5 unakunywa chai saa 8 unalala tena siku hiyo unakua huna la maana la kufanya au pakwenda huna hata hela inabidi ulale tu

Ndo maisha yalivyokua
inategemeana na kazi unayofanya mzee mkubwa kwa maana watanzania wengi tumezoea kuamka mapema na kwenda kuafnya kazi dunia inabadilika...lakini usizooe hiyo dabia utaumwa ugonjwa unaitwa sonona jitahid hat akama huna cha kufanya panda kitandani mapema usingizi utakuja tuu an utazoea
 
Kumbe tupo wengi eeh
Kuna kipindi huwa nakesha usiku wote kwa kuangalia movie tu, then asubuhi kwenye saa 1 moja au 1 na nusu ndio huwa nalala. Hapo tena kuamka ni kwenye saa 6, 6 na nusu au saba [emoji15][emoji15][emoji15]
 
Back
Top Bottom