Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi ni hivyo hivyo, ni sababu ya wake zangu wawili, walinilazimisha kila siku nahamia kwenye chumba cha mmoja wao nafikiri wamewekeana mkakati wahakikishe kila siku waniache nilale saa nane au tisa usiku, eti nisichepuke, matokeo yake inabidi kila siku naenda ofisini na pilipili kichaa ili nikianza kusinzia nauma kipande ule moto wake usingizi unakata, sasa hivi naanza kuwa fido dido...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1322][emoji1322]
Sijui nipige mmoja chini..?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kama kula kulala uwahi kuamka uende wapi? We mwambie dada aongeze bidii kwenye mauno tu asije akaachwa ukarudishwa kwenu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] unamaanisha jamaa ni mchaga?Unaishi kwa mume wa dada yako?
Maisha yangu ya siku hizi yamejaa vituko
Usiku najikutaga macho mpk saa 9 huko ikifika asubuhi ndo usingizi unanikamata kisawa sawa nakuja kuamka huko saa 4 au saa 5 nakunywa chai naenda kwenye mishe zangu....
Au kama ni siku ambayo sina mishe kama jmos huwa ni kulala tu unaamka saa 5 unakunywa chai saa 8 unalala tena siku hiyo unakua huna la maana la kufanya au pakwenda huna hata hela inabidi ulale tu
Ndo maisha yalivyokua

pointKama unalala hadi saa 5 na una uwezo wa kununua bando na msosi wa kula siku inayofuata hamna noma mzee.
Wewe endelea na ratiba zako..
Btw ratiba unaipanga wewe hata ukiamua ulale mchana wote uamke saa mbili usiku then ufanye mishe zako hadi asubuhi ulale tena mchana kutwa ni flesh tu...
Cha muhimu uweze kupata kipato chako halali
DuuSasa kama kula kulala uwahi kuamka uende wapi? We mwambie dada aongeze bidii kwenye mauno tu asije akaachwa ukarudishwa kwenu
inategemeana na kazi unayofanya mzee mkubwa kwa maana watanzania wengi tumezoea kuamka mapema na kwenda kuafnya kazi dunia inabadilika...lakini usizooe hiyo dabia utaumwa ugonjwa unaitwa sonona jitahid hat akama huna cha kufanya panda kitandani mapema usingizi utakuja tuu an utazoeaMaisha yangu ya siku hizi yamejaa vituko
Usiku najikutaga macho mpk saa 9 huko ikifika asubuhi ndo usingizi unanikamata kisawa sawa nakuja kuamka huko saa 4 au saa 5 nakunywa chai naenda kwenye mishe zangu....
Au kama ni siku ambayo sina mishe kama jmos huwa ni kulala tu unaamka saa 5 unakunywa chai saa 8 unalala tena siku hiyo unakua huna la maana la kufanya au pakwenda huna hata hela inabidi ulale tu
Ndo maisha yalivyokua
Kuna kipindi huwa nakesha usiku wote kwa kuangalia movie tu, then asubuhi kwenye saa 1 moja au 1 na nusu ndio huwa nalala. Hapo tena kuamka ni kwenye saa 6, 6 na nusu au saba [emoji15][emoji15][emoji15]Kumbe tupo wengi eeh
Asante mkuu kwa ushauri