Usiku huwa napenda kujifunza zaidi na kusoma vitu vipya kuhusu maisha na biashara mitandaoniUsiku na mchana ni matokeo ya dunia kuzunguka jua, haina uhusiano na usingizi wako. Jambo la msingi ni kuwa na muda wa kupumzika na muda wa kutafuta kipato, iwapo usiku unafanya online freelancing kwa shughuli za ughaibuni ambazo zinalipwa in terms of $, just keep on meen hakuna ubaya ila kama unachat tu usiku kucha...utakuwa kwenye msafara wa umasikini.
Ndo hivyo nipo mkuuKama unalala hadi saa 5 na una uwezo wa kununua bando na msosi wa kula siku inayofuata hamna noma mzee.
Wewe endelea na ratiba zako..
Btw ratiba unaipanga wewe hata ukiamua ulale mchana wote uamke saa mbili usiku then ufanye mishe zako hadi asubuhi ulale tena mchana kutwa ni flesh tu...
Cha muhimu uweze kupata kipato chako halali
Nimescreenshot hadi comment yako nitajaribu kulala mapema nioneVitabu vya dini vinataja mambo ambayo yanaleta madhara makubwa kwenye afya ya binaadamu ni mawili 1. Kula wakati husikii njaa. 2. Kukesha usiku na kulala mchana bila ya sababu maalum. Watafiti wa afya ya binaadamu wanasema muda mzuri wa kulala ni kuanzia saa tatu usiku hadi kumi alfajiri. Kikubwa ambacho nimekiona wewe unacho na wengi kimewaathiri ni simu ama gadgets. Unachat, unaangalia videos youtube, unaangalia porn mpaka usiku mnene, Mkuu ina athari kubwa sana kiafya acha kabisa.
So sasa hivi una biashara nyingi za mtandaoni?Usiku huwa napenda kujifunza zaidi na kusoma vitu vipya kuhusu maisha na biashara mitandaoni