Usiku ule sitousahau

digo dula

Member
Joined
Aug 21, 2016
Posts
12
Reaction score
2
Baada ya kufanya uchunguzi wakina na kugundua kwamba mpenzi wangu anamichepuko mingi tena ya kutisha niliamua kufanya haya:-
1-kuweka vocha simu yangu
2-kumpigia na kumpa makavu yake
3-kumtamkia simwitaji tena
4-kumuaga rasmi
5-kukata simu

~~~~>Alichonijibu yeye Kwa SMS
-----unataka uharibu ndoto zako?(sikumjibu)
-------najiua na maelezo ya kifo changu utayajibu wewe

Baada ya hapo nikampigia simu akakata, nikapigatena haipokelewi ,baada ya dk15 akatuma sms''taratibu zimekamilika nisamehe Kwa yote bye-bye nakutakia maisha marefu'''. Alafu akafunga simu.

Kidume nilijutia usiku ule ,niliwazia vyombo vya Sheria usiku mzima,. Nilijigeuza usiku mzima nkiwasha feni bardi Kali nkizima joto Kali.

Saa12 hasubi delivery report Kwa mpigo, kumpigia akapokea bila kuongea, kidume nilala Mika na kuomba msamaha kwelikweli
Ilibidi mapenzi yaendelee japo demumwenyewe kicheche

**Hebu niambie wapi nilikosea**
 
Hapo ulipoonyesha huna msimamo
 
hahahahahahahaha. alikuweza kisawasawa. ulikua unatingisha kibiriti nini!?
 
acha uoga ngoja akuue wewe ndo update akili
 
Unajuaje pengine alipofunga simu alikuwa keshapata mchepuko,
 
[emoji121]
WEKA PICHA MKUU!
 
Uliokosea ni pale ulipoomba msamaha na kosa kafanya yeye
 
Na bado mko wote kwel umechoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…