Kapepo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 1,066
- 1,194
Habari JF,
Story fupi tu ipo hivi jana usiku mida ya saa 8 na nusu nilitoka nje kwenda road kununua maji ya kunywa asee sasa nafungua tu mlango mkubwa wa kutokea nje niliona ndege mkubwa mno kimo cha mbuzi sijawah kuona mweupe nilivyofungua tu mlango aliruka na kupaa juu zaidi kwenye mnazi kwakweli niliogopa mno kwani siishi kijijini nipo hapahapa Dar katikati ya jiji nimeamini usiku una mambo mengi.
Embu tupia nawewe ulichoshuudia usiku kitu cha ajabu kwa macho yako