Usiku una mambo mengi

Usiku una mambo mengi

Habari jf, story fupi tu ipo hivi jana usiku mida ya saa 8 na nusu nilitoka nje kwenda road kununua maji ya kunywa asee sasa nafungua tu mlango mkubw
Hatari
a wa kutokea nje niliona ndege mkubwa mno kimo cha mbuzi sijawah kuona mweupe nilivyofungua tu mlango aliruka na kupaa juu zaidi kwenye mnazi kwakweli niliogopa mno kwani siishi kijijini nipo hapahapa dar katikati ya jiji nimeamini usiku una mambo mengi. Embu tupia nawewe ulichoshuudia usiku kitu cha ajabu kwa macho yako
 
Habari jf, story fupi tu ipo hivi jana usiku mida ya saa 8 na nusu nilitoka nje kwenda road kununua maji ya kunywa asee sasa nafungua tu mlango mkubwa wa kutokea nje niliona ndege mkubwa mno kimo cha mbuzi sijawah kuona mweupe nilivyofungua tu mlango aliruka na kupaa juu zaidi kwenye mnazi kwakweli niliogopa mno kwani siishi kijijini nipo hapahapa dar katikati ya jiji nimeamini usiku una mambo mengi. Embu tupia nawewe ulichoshuudia usiku kitu cha ajabu kwa macho yako
Kuna uzi humu unazungumzia Dar es salaam usiku !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari jf, story fupi tu ipo hivi jana usiku mida ya saa 8 na nusu nilitoka nje kwenda road kununua maji ya kunywa asee sasa nafungua tu mlango mkubwa wa kutokea nje niliona ndege mkubwa mno kimo cha mbuzi sijawah kuona mweupe nilivyofungua tu mlango aliruka na kupaa juu zaidi kwenye mnazi kwakweli niliogopa mno kwani siishi kijijini nipo hapahapa dar katikati ya jiji nimeamini usiku una mambo mengi. Embu tupia nawewe ulichoshuudia usiku kitu cha ajabu kwa macho yako
Acha kudanga
 
BWANA atakulinda na mabaya yote, Atakulinda nafsi yako. BWANA atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele.

Zab 121:7‭-‬8 SUV

Mtegemee Mungu, hofu ya kitu chochite itabaki kuwa historia kwako
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Sasa nawewe usiku wa manani unatoka kununua maji ya kunywa ulikua wapi kuyanunua kabla ya kuingia kulala.!!
 
Sasa nawewe usiku wa manani unatoka kununua maji ya kunywa ulikua wapi kuyanunua kabla ya kuingia kulala.!!
baada ya kupata futari nikapitiwa na usingizi mzito sana kushtukaa saa nane iyo
 
Back
Top Bottom