Usiku una mambo mengi

Kapepo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
1,066
Reaction score
1,194
Habari JF,

Story fupi tu ipo hivi jana usiku mida ya saa 8 na nusu nilitoka nje kwenda road kununua maji ya kunywa asee sasa nafungua tu mlango mkubwa wa kutokea nje niliona ndege mkubwa mno kimo cha mbuzi sijawah kuona mweupe nilivyofungua tu mlango aliruka na kupaa juu zaidi kwenye mnazi kwakweli niliogopa mno kwani siishi kijijini nipo hapahapa Dar katikati ya jiji nimeamini usiku una mambo mengi.

Embu tupia nawewe ulichoshuudia usiku kitu cha ajabu kwa macho yako
 
Usipende kutoka usiku..
 

Lazima atakua ni mbuni huyo
 
Watu mna mambo ya ajabu sana yanawapata.
Mimi mpaka umri huu sijakutana na hayo maluweluwe.
Nayatamani sana nikutane naye tuone nani zaidi.
mimi ndio jana nimeona asee sema sikukimbia nilikaza kiume
 
mimi ndio jana nimeona asee sema sikukimbia nilikaza kiume
Wenge tu hilo mkuu la usingizi plus giza.
Mimi nayataka sana hayo madude yaje yatokee mbele yangu tujue nani ni nani
 
BWANA atakulinda na mabaya yote, Atakulinda nafsi yako. BWANA atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele.

Zab 121:7‭-‬8 SUV

Mtegemee Mungu, hofu ya kitu chochite itabaki kuwa historia kwako
ameni mtumishi
 
Chai....

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…