Usiku una mambo...

Usiku una mambo...

umsahau usiku ndo wakati watu wanaongeaa na mungu wao na salaaa zinafikaa sawa sawaaaaaa kabisaaaa
 
Hata sielewi usiku nafanya nini. Ila huwa niko na my wife chumbani!!
 
Usku ni muda wa kupumzisha akili na mwili kwaajili ya cku mpya inayofuatia na cyo kufanya maovu
 
Back
Top Bottom