Usiku wa Afrimma Awards ni leo, Alikiba kumnyoosha Diamond

Usiku wa Afrimma Awards ni leo, Alikiba kumnyoosha Diamond

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,047
Hatimaye ile siku iloyosubiriwa na wengi ni leo, Diamond yupo category 7 ila probably hata tuzo 3 anaweza asinuse.
Huku category ya Best Male in East Africa ikionekana kuwa na ushindani mkubwa ambapo Wamekutanishwa miamba miwili ya Bongo flavor nchin Tanzania+( Diamond Vs Alikiba).

Tusubirie tuone ni kwa jinsi gani Mfalme Alikiba hakubahatisha kwenye Kill Awards, tuone kama watalia tena kuwa hadi USA wanahujumiwa.

#Rorkstar4000 , #papleeeni
 
Haaaah haaaah haaaah haaaah haaaah haaaah haaaah haaaah haaaah haaaah haaaah haaaah haaaah haaaah haaaah haaaaah haaaaah haaaah haaaah haaaah haaaaaaaaaaaaaaaaaaaah haaaàaaaaaaaaaaaaaaaah haaaaaaaaaaaaaaaaaaaah haaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaah haaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaah haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah haaaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaah haaaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaah
H
A
A
A
A
A
A
A
A
A
A
A
A
A
A
A
A
A
A
A
A
A
A
A
Haaaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaah
 
Wazee inaoneshwa chanel gani...!!na saa ngapi., mtujuze
 
Mimi naogopa kuja kuona inaletwa habari ya Diamond kuwahonga waandaaji wa tuzo za AFRIMMA.
 
Weka akiba ya maneno then ucforce m2 awe mwamba east africa
 
Mimi naogopa kuja kuona inaletwa habari ya Diamond kuwahonga waandaaji wa tuzo za AFRIMMA.

😂😂😂😂😂 mkuu umenivunja mbavu, lakin hilo haliwezekan
 
east africa miamba ni 2 tu, diamond vs eddy kenzo apo ndo kuna mchuano mkali alikiba hata entebe pale airport hawamjui

Eddy nimejua kwny tuzo za BET tena kwa kusikia jina tu juu juu, juzi ndo nimemuona insta.
 
Inspirational song mshindi ni ALIVE by backet ft diamond platnumz and tiwa savage
 
Back
Top Bottom