Usiku wa Afrimma Awards ni leo, Alikiba kumnyoosha Diamond

Usiku wa Afrimma Awards ni leo, Alikiba kumnyoosha Diamond

ukitaka kufa mapema mkunjie MOND utaona dunia chunguuuuuu
 
Amejtahid kufata nyayo,kachkua jokate,urafk na wema,kapga kampen ccm,kaenda kwa godfather,kashoboka kwa davdo na ne-yo bt bado 2 tatzo nn?
ALI KIBA NI MPUUZI sana na sitompigia tena kura yangu....akaombe kwa magufuli
ni bora diamond aliyekuwa wazi tokea mapema kuwa ni mtu wa ccm kuliko kiba kuja kutuangusha mwishoni

hapa diamond tu...ili kumkomesha kibakuli
 
Wakuu imeniuma sana, hivi hawa majaji wana akili kweli? How comes kura nyingi apate Kiba alafu tuzo apewe mtu mwingine? Hizi hujuma hazikubaliki hata kidogo, nina mashaka na wakina bab Tale na Salim huenda kuna mchezo mchafu wamefanya ili Kiba akose tuzo.

Mziki ni ujinga bora nikakomae na UKAWA yangu.

Kibakuli hana kipaji kabisa uwezo wake ni kulelewa n kukaa nyumba za wanawake.....labda ashindanishwe tuzo ya mdananda yani kiba,lemutuz na nuhu nziwanda hapo ataweza kushida
 
kiba fans wana roho ngumu kama smigo wa lord of the ring..dah!!!
 
Back
Top Bottom