Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ALI KIBA NI MPUUZI sana na sitompigia tena kura yangu....akaombe kwa magufuliAmejtahid kufata nyayo,kachkua jokate,urafk na wema,kapga kampen ccm,kaenda kwa godfather,kashoboka kwa davdo na ne-yo bt bado 2 tatzo nn?
Wakuu imeniuma sana, hivi hawa majaji wana akili kweli? How comes kura nyingi apate Kiba alafu tuzo apewe mtu mwingine? Hizi hujuma hazikubaliki hata kidogo, nina mashaka na wakina bab Tale na Salim huenda kuna mchezo mchafu wamefanya ili Kiba akose tuzo.
Mziki ni ujinga bora nikakomae na UKAWA yangu.