AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Hatimaye ile siku iloyosubiriwa na wengi ni leo, Diamond yupo category 7 ila probably hata tuzo 3 anaweza asinuse.
Huku category ya Best Male in East Africa ikionekana kuwa na ushindani mkubwa ambapo Wamekutanishwa miamba miwili ya Bongo flavor nchin Tanzania+( Diamond Vs Alikiba).
Tusubirie tuone ni kwa jinsi gani Mfalme Alikiba hakubahatisha kwenye Kill Awards, tuone kama watalia tena kuwa hadi USA wanahujumiwa.
#Rorkstar4000 , #papleeeni
east africa miamba ni 2 tu, diamond vs eddy kenzo apo ndo kuna mchuano mkali alikiba hata entebe pale airport hawamjui
Mimi naogopa kuja kuona inaletwa habari ya Diamond kuwahonga waandaaji wa tuzo za AFRIMMA.
Weka akiba ya maneno then ucforce m2 awe mwamba east africa
east africa miamba ni 2 tu, diamond vs eddy kenzo apo ndo kuna mchuano mkali alikiba hata entebe pale airport hawamjui
East africa best male the winner is diamond platnumz
Naona Kiba ndio kaanza kunyooshwa