Usiku wa Afrimma Awards ni leo, Alikiba kumnyoosha Diamond

Utoaji wa tuzo umeisha huku diamond platnumz akiwa ndo mshindi wa jumla kwa kupata tuzo 3 binafsi huku tuzo 1 akishare na blacket na tiwa savage ni tuzo ya best inspirational song of the year. kifupi kala tuzo 3 na nusu
 
ingekuwa ajabu kba kushinda yaan mtu ashindane na wasanii wakubwa wa Afrika halafu ashindwe kushinda tuzo ya msanii bora wa east afrika.na huyo kiba ana nyimbo gan ya kushindana na diamond.DIAMOND NDO HABAR YA AFRIKA WANAIJA WENYEWE WANAMUOGOPA
 
Utoaji wa tuzo umeisha huku diamond platnumz akiwa ndo mshindi wa jumla kwa kupata tuzo 3 binafsi huku tuzo 1 akishare na blacket na tiwa savage ni tuzo ya best inspirational song of the year. kifupi kala tuzo 3 na nusu

Ndio atakua kachukua tuzo nyingi kuzidi wote?
 
Naona kakimbia na kashaanzisha uzi mwingine wa kulalamika
 
Wewe itabidi ushtakiwe tu na maneno yako yakuharibia sifa za watu, umezidi sana
 
Ali kiba hadi afikie lever za diamond sio leo atasubiri sana aiseee!
 
Tuweke ushabiki pembeni tuzungumze. Kwanza kabisa niwapongeze Diamond, Vanessa na Ommy Dimpoz kwa kuiwakilisha Tanzania kwenye tuzo za Afrimma. Juhudi zinaonekana na hatuna budi kupongezwa.

Kwa upande mwingine Tz tuna msanii mkubwa tu ambaye kwa hakika ana uwezo mkubwa tu lakini kinachomuangusha ni majivuno tu. Ali Kiba ni msanii mzuri ila vitendo vyake anavyofanya vinampunguzia 'credit'. Kuna mengi tu anayoyafanya Ali Kiba ila suala kubwa zaidi ni kujivuna kwake ndio maana waTz hawampi support ya kutosha. Mambo kadhaa yanayoonesha jamaa ana majivuno ni pamoja na:

1. Jamaa kuwa Anti Social. Hebu nenda kwenye account yake ya Instagram ambapo kuna mashabiki lukuki lakini Ali Kiba hajamfollow hata mmoja. Sijawahi kuona Ali Kiba akijibu comments za watu mitandaoni. Hakika kujiweka karibu na mashabiki kunawafanya nao wajisikie ni sehemu yao. Abadilike.

2. Kujitokeza kwenye shughuli/ matukio ya wasanii wenzake. Huyu jamaa hana muda kabisa. Utakuta msanii fulani ana show au shughuli fulani lakini mpaka ashiriki inakuwa mbinde. Kuwa karibu na wenzako kunakupa connections. Hebu angalia combination ya Weusi, Navy Kenzo na Vanessa..

Kama una mengine ongezea
 

Attachments

  • 1444546745051.jpg
    49 KB · Views: 805
Vipi waliokua wanamwombea mabaya diamond Mungu ndo hutoa ridhiki jamani siasa zisitufanye kunena mabaya juu ya mtu.ooh hatumpigii kura sasaje
 
Kiba ccm ndiyo imempoza sana na mm ndiyo hapo nilipoanza kumchukia mpaka kura nikawa simpigii tena
 
Mungu ampe nguvu na hekima king kiba, katika hiki kipindi kigumu.

Honestly i m diamond team , ila kiba hafai kusemwa vibaya...

Kipaji anacho, naamin ipo siku nayeye bahati itamnyookea king kiba

Hongera kwa diamond, vanessa, na baba wanjera...
 
kweli amezidi uzubavu, yaani hata kura za ccm wenzie nazo kazikosa? mwenzie diamond hata asipopigiwa kura tz, atapigiwa na wakenya, Uganda , Nigeria n.k lakini huyu anahitaji sana kura zetu wa tz lakini ndo majivuno na ubunifu wa kuteka mashabiki hana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…